Tupige Kura Song - Ngorongoro

Ngorongoro Conservation Area

98 Views 0

Ngorongoro Crater ni miongoni mwa kivutio bora sana duniani ambacho kimeingizwa katika kinyanganyiro cha kuwa kivutio bora cha utalii kinachoongoza barania Afrika. Ngorongoro Ilishinda tuzo hii 2023 na sasa imeingia tena kwa mwaka huu wa 2025.
Tunaomba kura yako ili tushinde tena.

Asante

Related Videos