TAZAMA TUZO ZILIVYOTINGA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ,DKT.ASHATU ATOA MAELEKEZO (@okulyBlog-h4s

OKULY BLOG

76 Views 0

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji ameziagiza taasisi zinazohusika na Uhifadhi na Utalii kuhakikisha kila mwaka wanaibua na kuyatangaza mazao mapya ya utalii ili kuongeza kasi ya uvutiaji watalii nchini hali itakayoifanya sekta hiyo kuimarisha mchango wake katika Pato la Taifa.

DKT. Kijaji ameyasema hayo leo hii Jijini Dodoma katika Hafla ya upokeaji wa Tuzo za Utalii Duniani za World Travel Awards ambazo Tanzania imeshinda vipengele vitano

***********

KARIBU OKULY DIGITAL KUPATA HABARI ZENYE UKWELI NA UHAKIKA KUTOKA TANZANIA NA NJE YA MIPAKA BONYEZA "SUBSCRIBE" ILI UWE FAMILIA YETU ASANTE


TUNAPATIKANA

INSTAGRAM @okulyblog
website www.okuly.co.tz
facebook @okulyblog
x @okulyJ
tiktok @okulyblog

Related Videos